magazine

magazine

Pages

Friday, September 23, 2016

MPANGO WA CIA KIFO CHA OSAMA


GERANIMO E K I A. Mpango wa CIA kifo cha OSAMA. Mwaka 2001, mwezi Desemba katika milima ya Tora Bora baada ya mapambano ya siku kumi na moja toka tarehe 6 hadi 17 na mabomu kadhaa kudondoshwa katika milima hiyo hatimaye askari wa miguu walianza zoezi la kuikagua milima hiyo kuangalia kama kuna masalia yoyote muhimu yanayoweza kuwapa fununu