shilole akifanya yake,ni katika uzinduzi wa kampeni ya twenzetu kupinga uharamia wa kazi za wasanii mjini dodoma iliyoandaliwa na clouds media groupcheki nayo