FAINALI ZA UMITASHUMTA MKOA WA DODOMA 2013-FUATILIA MATUKIO KATIKA PICHA

BAADHI YA WASHIRIKI WA UMITASHUMTA TOKA WILAYA YA BAHI WAKIPATA TAFSIRI KUTOKA KWA MTAALAMU NA MWALIMU WA LUGHA MAALUM YA VIZIWI

MAKOCHA WA WILAYA YA CHAMWINO WAKIWAPA MAELEKEZO WACHEZAJI WAO WA TIMU YA MPIRA WA PETE.

KWA KWELI HUDUMA ILIKUWA NZURI SANA. MADAKTARI WAKITOA HUDUMA KWA MCHEZAJI ALIYEUMIA WAKATI WA FAINALI YA MPIRA WA MIGUU.

WANAMICHEZO WA SHULE ZA MSINGI ZA WILAYA YA KONDOA WAKIANDAMANA. SIYO SIRI WARING'ARA KWELI

WACHZAJI WA WILAYA YA KONGWA WAKIANDAMANA KWA SHANGWE .

BAADHI YA MAAFISA WALIOSHIRIKI KATIKA MAANDAMANO SIKU YA FAINALI ZA UMITASHUMTA MKOA WA DODOMA.

HAPA SAAAASA! NAHODHA WA TIMU YA DODOMA MANISPAA AKIPOKEA KOMBE LA USHINDI KUTOKA KWA MGENI RASMI, MH. MKUU WA WILAYA YA BAHI, BETY MKWASA.

MAKOCHA WA WASHINDI WA PILI MPRIRA WA MIGUU- WILAYA YA MPWAPWA WAKITOA MAELEKEZO KWA WACHEZAJI WAO.

WASHANGILIAJI WAKIWAPA HAMASA WACHEZAJI WAKATI WA SHINDANO LA MPIRA WA MIGUU.

MGENI RASMI. MH. BETY MKWASA AKIFUATILIA PAMBANO KALI LA MPIRA WA MIGUU, MBELE YAKE ALIKUWEPO MWALI ANAYESHINDANIWA.

MGENI RASMI. MH,BETY MKWASA, KATIKATI AKIFUATILIA PAMBANO LA MPIRA WA PETE.

MGENI RASMI,MH.BETY MKWASA AKIKAGUA TIMU YA MPIRA WA PETE YA WILAYA YA KONGWA

WAAMUZI WA MCHEZO WA FAINALI WA MPIRA WA PETE WAKIWA PAMOJA NA MH.BETY MKWASA KATIKA UFUNGUZI WA FAINALI ZA MCHEZO HUO KATI YA WILAYA YA CHAMWINO NA KONGWA

MH. BETY MKWASA AKIKAGUA TIMU YA MPIRA WA PETE YA WILAYA YA CHAMWINO

SHAMBULI MATATA KWENYE GOLI LA TIMU YA KONGWA.
WACHEZAJI WA TIMU YA WILAYA YA MPWAPWA WAKIWA KATIKA MAANDAMANO


KOMBE HIIILO! MSHINDI WA RIADHA AKIPOKEA KOMBE KUTOKA KWA MGENI RASMI. M.BETY MKWASA

MPWAPWA HAOOO! WAKIJINYAKULIA KOMBE KWA KUWA WASHINDI WA PILI KATIKA MPIRA WA MIGUU

MSHIKEMSHIKE KWENYE FAINALI YA MPIRA WA PETE

NGAO YA NIDHAMU HIYO! IKIENDA KWA WILAYA YA CHAMWINO

NIACHENI NA VUVUZELA LANGU MIE! AU UNASEMAJE BOMALOGER?WASAFI HAO! WAKIPOKEA NGAO YAO. SI WENGINE ILA NI WASAFI WA KUTOKA WILAYA YA MPWAPWA.

HONGERA UMESHINDA KATIKA MBIO. MWANARIADHA HUYO KUTOKA KONDOA

AISEEEE! HUYU MDADA ANACHARU ILE MBAYA. KAKIMBIA KUSHINDA WENGINE WOOOTE. ANATOKEA WILAYA YA BAHI........ HUMKAMATI HUYU!