REDD'S MISS DODOMA 2013

Baada ya kutangazwa mshindi wa taji la miss dodoma katika mchuano ulioshirikisha walimbende 14 wa dodoma na vitongoji vyake hatimaye happy watimanywa alitawazwa mshindi wa taji hilo miss dodoma 2013.
warembo wakiselebuka miondoko ya kwa madiba tayari kwa kinyang'anyiro cha kumsaka kisura wa Dodoma awali kabla ya mioodoko ya paka (CAT WALK) kuanza
MSHIRIKI NAMBARI MOJA LIGHTNESS MWENYE UMRI WA MIAKA 20 MWANAFUNZI WA MT.YOHANA STASHAHADA YA BIASHARA AKIPITA KATIKA VAZI LA UBUNIFU
MSHIRIKI NAMBARI MBILI RAHMA MOHAMED MWENYE UMRI WA MIAKA 21 MUHITIMU KIDATO CHA SITA KATIKA VAZI LA UBUNIFU.MISS DODOMA 2013

MSHIRIKI NAMBARI TATU FATMA JUMA MWENYE UMRI WA MIAKA 19 MUHITIMU KIDATO CHA NNE KATIKA VAZI LA UBUNIFU.MISS DODOMA 2013


MSHIRIKI NAMBARI NNE NEEMA MWENYE UMRI WA MIAKA 20 MUHITIMU KIDATO CHA NNE KATIKA VAZI LA UBUNIFU.MISS DODOMA 2013

MSHIRIKI NAMBARI TANO ANNA ISACK MWENYE UMRI WA MIAKA 22 MWANAFUNZI UDOM SHAHADA YA UTAWALA AKIPITA KATIKA VAZI LA UBUNIFU.MISS DODOMA 2013
MSHIRIKI NAMBARI SITA HAPPYNESS WATIMANYWA MWENYE UMRI WA MIAKA 19 MWANAFUNZI LONDON AKIPITA KATIKA VAZI LA UBUNIFU.
MSHIRIKI NAMBARI SABA IRENE RICHARD MWENYE UMRI WA MIAKA 22 MWANAFUNZI WA CHUO CHA ST.JOHN STASHAHADA YA BIASHARA AKIPITA KATIKA VAZI LA UBUNIFU.MISS DODOMA 2013
MSHIRIKI NAMBARI NANE HAPPY MWENYE UMRI WA MIAKA 23 MWANAFUNZI UDOM SHAHADA YA KWANZA YA ELIMU NA MAENDELEO AKIPITA KATIKA VAZI LA UBUNIFU.MISS DODOMA 2013

MSHIRIKI NAMBARI TISA ASMA MWENYE UMRI WA MIAKA 24 MWANAFUNZI CHUO CHA SERIKALI ZA MITAA HOMBOLO ASTASHAHADA YA UTAWALA AKIWA KATIKA VAZI LA UFUKWENI.MISS DODOMA 2013

MSHIRIKI NAMBARI 10 ELVINA DONALD MWENYE UMRI WA MIAKA 21 MWANAFUNZI CHUO CHA SERIKALI ZA MITAA HOMBOLO ASTASHAHADA YA UCHUMI NA FEDHA AKIWA KATIKA VAZI LA UBUNIFU.MISS.DODOMA 2013
MSHIRIKI NAMBARI 11 JACKLINE MWENYE UMRI WA MIAKA 21 MWANAFUNZI WA CHUO CHA SERIKALI ZA MITAA HOMBOLO ASTASHAHADA YA UTAWALA NA UONGOZI AKIPITA KATIKA VAZI LA UBUNIFU.MISS DODOMA 2013


MSHIRIKI NAMBARI 12 MARGRETH MWENYE UMRI WA MIAKA 22 MWANAFUNZI CHUO CHA SERIKALI ZA MITAA HOMBOLO STASHAHADA MAENDELEO YA JAMII AKIPITA KATIKA VAZI LA UBUNIFU.MISS DODOMA 2013
MSHIRIKI NAMBARI 13 LILIAN KIPINGU MWENYE UMRI WA MIAKA 22 MWANAFUNZI WA CHUO CHA SERIKALI ZA MITAA HOMBOLO STASHAHADA YA UHASIBU NA FEDHA AKIPITA KATIKA VAZI LA UBUNIFU.MISS DODOMA 2013

MSIRIKI NAMBARI 14 HAWA MNYANGE MWENYE UMRI WA MIAKA 22 MWANAFUNZI UDOM SHAHADA YA SHERIA AKIWA KATIKA VAZI LA UBUNIFU.MISS DODOMA 2013

TOP 5 KAMA WANAONEKANA BAADA YA HATUA YA AWALI
TOP 4 KAMA WANAVYOONEKANA BAADA YA MAJAJI KUFANYA YAO  NA MSHINDI AKIWA ANATABASAMU BAADA YA USHINDI HUO NA SI MWINGINE NI HAPPYNESS
MISS DODOMA 2013 HAPPYNESS WATIMANYWA HATIMAYE  JINA LAKE LILISADIFU YALIYOMO HAKIKA ILIKUWA NI FURAHA
MAJAJI,TUME YA MAMISS WALIOHUDHURIA TUKIO ZIMA PAMOJA NA TOP 4 AMBAO WATAIWAKILISHA DODOMA KATIKA MISS KANDA YA KATI IKIJUMUISHA MIKOA YA DODOMA,SINGIDA,TABORA, NA KIGOMA
MSHINDI WA NAFASI YA TANO PIA ANNA ISACK ALIPOKEA ZAWADI YAKE KUTOKA KWA MGENI RASMI GEORGE SIMBACHAWENE