YALIYOJILI NDANI YA BOMA LOG WIKI HII..................

MASHINDANO YA UMITASHUMTA:
KANDA YA KATI SINGIDA WAIBUKA WASHINDI WA JUMLA. ILA TIMU YA WANAFUNZI WENYE ULEMAVU (VIZIWI) WA DODOMA WAFANYA KWELI KWENYE MPIRA WA MIGUU
TIMU YA VIZIWI YA DODOMA IKISHANGILIA USHINDI DHIDI YA SINGIDA

PIA KWAITO LILICHEZEKA! WE ACHA TU.. ILIKUWA NI BURUDANI YA KIWANGO CHA LAMI.

KWAITO LILIZINGATIA VIGEZO NA MASHARTI. SI UNAONA HAPO!

VOLLEY BALL ILIKUWA MOTOMOTO SI MCHEZO!

NI MARA BAADA YA MWAMUZI KUASHIRIA MUDA UMEKWISHA! DODMA HAO.
USISAHAU! HIZI NI TIMU ZA WASICHANA.. WALICHEZA MCHEZO MZURI SANA.
 EXCLUSIVE!
SHEMEJI MELAYEKI (ADAM) ATANGAZA KUINGIA SOKONI KWA KITABU CHAKE KIPYA CHENYE SHEHENA YA MBINU ZA KUKUA KIMAFANIKIO HASA KATIKA ULIMWENGU HUU WA USHINDANI. NAKALA ZINAPATIKANA MADUKANI NA KITAPATIKANA KATIKA CD ZA AUDIO KWA LUGHA YA KISWAHILI NA KIINGEREZA PIA KWENYE MTANDAO (AMAZON.COM)
PAGE COVER.

BOMALOG FREE STAGE:
YAANZA KUSHIKA MITAA KWA KASI YA AJABU. WASANII WA MUZIKI WAJITOKEZA KWA WINGI KUSHIRIKI KWENYE BOMALOG FREE STAGE. KWENYE SEGMENT HII MSANII WA FANI YOYOTE ILE YA SANAA, ANAWEZA KUONYESHA UWEZO WAKE. PUNDE SI PUNDE WASANII HAWA WATAPANDA JUKWAANI KUFANYA YAO.
BLACK SNAKE (KUSHOTO) E-WA MTAA (KATIKATI) WAKATI WA BOMA LOG FREE STAGE


MKALI KUTOKA KUNDI LA TUFF GONG AKIFANYA VITU VYAKE

BOMA ON THE LOG:
BAADHI YA MASHABIKI WAMETUTUMIA PICHA ZAO NA WAMEWAKILISHA IPASAVYO KWENYE BOMA ON THE LOG. NAWE UNAWEZA KUSHIRIKI KWENYE BOMA ON THE LOG KWA KUTUMIA UJUMBE MFUPI, KAMA NI POA NA PICHA YAKO KISHA TUNAIWEKA NDANI YA BOMA ON THE LOG!
BLANDINA: BOMA LOG NI SAAAAAAAAAAAAAAANASAUMU(KUSHOTO) AMINA (KULIA) PETER (KATIKATI) KATIKA POZI ON THE LOG!