IHUMWA SEKONDARI NDANI YA BOMALOG

Ihumwa sekondari ilipata nafasi ya kushiriki kwenye kipindi cha BOMALOG.
Walimu na wanafunzi walishiriki kikamilifu kwenye segment ya TEENS CLUB.
 Ndani ya teens club tulijadili mada hii;

MWANAFUNZI ANAWEZA KUTENGENEZA HISTORIA?

Sambamba na kujadili madaa hii, KIMONDO THEATRE walihakikisha panakuwa na burudani ya kiwango cha lami.

WALIMU NA WANAFUNZI WAKIFUATILIA MDAHALO

WANAFUNZI WAPO MAKINI KUSIKILIZA HOJA ZA WAZUNGUMZAJI

MMOJA WA WAZUNGUMZAJI AKITOA HOJA

HADHIRA ILISHIRIKI KUULIZA MASWALI

JOHNSON WA KIMONDO AKIFANYA ONYESHO

KIMONDO ILIWAKILISHWA VYEMA KABISA

HAKIKA HISTORIA INAWEKEKA, KAMA INAVYOWEKA BOMALOG NA KIMONDO

CHANGAMOTO NDOGO TU!