LESENI ZINAHITAJIKA?

Hivi karibuni, mwendesha baisikeli aligongwa na gari dogo kwenye barabara kuu ya mjini Dodoma (mtaa wa tembo). Chanzo cha ajili hakukiweza kufahamika mara moja. Mwendesha baisikeli alivunjika mkono. BOMALOG ilishuhudia umati wa watu ukimwangalia majeruhi. Kutokana na suala hili wengi waljiuliza WAENDESHA BAISIKELI WAKATE LESENI?

Tukio lenyewe lilikuwa kama ifuatavyo:

Mwendesha baisikeli akiwa chini baada ya kupata ajali.

Gari dogo lililomgonga mwendesha baisikeli