MIYUJI SEKONDARI NDANI YA BOMALOG

BOMALOG iliendesha mdahalo kwenye shule ya sekondari ya miyuji kupita segment yake ya TEENS CLUB. mada iliyojadiliwa ilikuwa;
 " masomo kufundishwa kwa lugha ya kiingereza na kupungua kwa kiwango cha ufaulu, kiswahili kitumike kufundishia?" ( kama unahoja  usisite kuchangia kwenye mada hii sasa).Washiriki alikubali masomo kufundishwa kwa kiingereza na kusisitiza umuhimu wa kiswahili kwa kuzingatia utamaduni wetu na historia ya nchi yetu.

Kimondo sanaa group walisindikiza mdahalo kwa burudani safi sana; 


Mshiriki akichangia hoja

Huyu alikuwa na bonge la hoja si mchezo!
Msanii wa Kimondo akifanya vitu vyake.

Hapa wasanii wa kiomondo wakiwa kazini

Usihofu! wote wapo hai.

BOMALOG NI SAAAAAAAAAAAAAAANA!