NANE NANE, USHINDANI KABAMBE!

Maonyesho ya Nanenane yaliyofanyika kitaifa Mkoani Dodoma kwenye viwanja vya maonyesho vilivyo Nzuguwanni kwenye Manispaa ya Dodoma, yalifika kilele siku ya Jumatano tarehe 07/08/2013.

Wadau mbalimbali walishiriki na waliotia fora walitunukiwa zawadi murua kabisa! Haya ni baadhi ya matukio yaliyoshuhudiwa na BOMALOG kwenye kilele cha maonyesho hayo:

MAKAMU WA PILI WA RAISI WA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR AKIZUNGUMZA KATIKA KILELE CHA MOANYESHO YA NANENANE

MKUU WA WILAYA YA CHAMWINO, MH.FATMA ALLY AKIPOKEA KOMBE LA USHINDI WA JUMLA KWA HALMASHAURI ZILIZOSHIRIKI MAONYESHO HAYO.

WILAYA YA CHAMWINO WAKIWA KATIKA SHANGWE KUUUBWA YA KUSHINDA KOMBE. HEKO KWAO!

KAMISHNA WA MAGEREZA AKIPOKEA KOMBE LA USHINDI KWENYE KILELE CHA MAONYESHO YA NANENANE. PONGEZI KWAO MAKAMANDA KWA KAZI NZURI!

CHAMWINO! CHAMWINO! CHAMINO! OYEEEEEEE!

AFISA WA TANAPA AKITOA HUDUMA KWA WANAFUNZI WALIOTEMBELEA BANDA LAO LA MAONYESHO!