USHIRIKISHWAJI?

Wakati umefika wa wananchi kushirikishwa kikamilifu katika masuala ya kijamii na kimaendeleo. Mikutano husaidia kufikia suluhu na muafaka wa changamoto zinazokabili jamii ya watanzania. Viongozi na watendaji wa serikali kwa ngazi zote hawanabudi kuhakikisha na kuhimiza ushiriki chanya wa wananchi katika maendeleo. Wanakijiji wa kijiji cha Iyumbu cha masnispaa ya Dodoma wanzaidi kushirkishwa na wanashirki. BOMALOG ilishuhudia kikao cha kijiji hicho na viongozi wao: HEKO WAKAZI WA IYUMBU, TUSIKUBALI KUBAKI MASIKINI TENA!

MH. DIWANI WA KATA YA IYUMBU AKILONGA NA WANANCHI WAKE
MWENYEKITI WA KIJIJI CHA IYUMBU AKIZUNGUMZA JAMBO KWA WATU WAKE
WAKINAMAMA HAWAPO MSITARI WA NYUMA TEEEEEENA!
WAKINABABA KAMA KAWAIDA, HAWAKOSI KATIKA VIKOA VYA MAENDELEO