SHAMRASHAMRA YA MAPOKEZI YA MISS TANZANIA 2013 MJINI DODOMA

SHAMRASHAMRA YA MAPOKEZI YA MISS TANZANIA 2013 HAPPYNESS WATIMANYA MSHIRIKI ALIYEKUWA AKIWAKILISHA DODOMA,KANDA YA KATI, NA HATIMAYE MISS TANZANIA PINDI ALIPOWASILI MAKAO MAKUU YA NCHI NA CHAMA DODOMA KATIKA MAENEO YA NYERERE  SQUARE LEO HII KABLA YA HAPO MISS TANZANIA ALIPITA KATIKA KITUO CHA WATOTO WANAOISHI KATIKA KIJIJI CHA MATUMAINI NA BAADAE ATAELEKEA KATIKA MLLO WA USIKU KATIKA HOTEL YA DODOMA HOTEL AKIWA NA WADAU MBALIMBALI PIA KUTOA SHUKRANI ZAKE KWA WADAU MBALIMBALI MKOA WA DODOMA AKIWA AMEAMBATANA NA MAMA MZAZI AMINA RUTA, PIA BIBI YAKE BIBI KAUNDIME NA WENGINEO