KRISMASI OYEEEEEEE!

Wakati wa maadhimisho ya sikukuu ya christmas, BOMALOG ilishuhudia booonge la burudani. kwa kweli ilikuwa ni raha tele. ingawa hutopata uhondo huo kwa 100% hebu jionee matukio machache kati ya mengi yaliyoipamba sikukuu hiyo mjini Dodoma.
Hotuba fupi ya ufunguzi. likuwa saaafi sana.
Jesca Nyange na kundi lake akiwaimbia wananchi wa mkoa wa Dodoma
katika tamasha la krismas lililofanyika katika uwanja wa jamhuri
.
Mary Sinkala Chotala wa Kisomali akionyesha uwezowake kwenye tamasha
la krismas Dodoma
Jubilee Lugobo toka jijini Dar es laam akitawala jukwaa ndani ya
viwanja vya jamhuri Dodoma katika tamasha hilo

BOMALOG inakutakia maandalizi mema ya kupokea 2014!