THIS IS TOOO MUCH!

Licha ya hatua kali kuchukuliwa dhidi ya wale wanaofanya vitendo vya unyanyasaji na ukatili wa kijinsia, bado wapo watu wanadiriki kuvitenda, inastaajabisha kiukweli. 
kibaya zaidi binti kufanyiwa vitendo kama ubakaji na kutelekezwa makaburini, ah! mi sikubali.  hivi hawa wabajkaj wanafikiria nini? Na kuhusu maambukizi ya magonjwa ya zinaa sijui inakuwaje? ila nadahani ifike wakati wanasayansi wavumbue kifaa kitakachoonyesha chanzo cha maambukizi, ikiwa ni kubaka basi matibabu yaende sambamba na mkondo wa wa sheria. 

Hebu ona huyu dada!
Chipegwa Chamlomo (25) aliyebakwa na watu zaidi ya watutu akiwa ajitambui hospitalini Mvumi.
dada wa Chipegwa akiwa wodini.

Tunapoelekea kumaliza mwaka na kuanza mwingine ni vyema kuepuka mazingira na vitendo hatarishi. BOMALOG inawatakia heri katika msimu huu wa mwisho wa mwaka.