BRUNO ZUCULINI AINGIA MKATABA WA KUJIUNGA MANCHESTOR CITYKijana mwenye umri wa miaka 21 aneonekana kama tegemeo la baadae kutoka klabu cha racing ya argentina Bruno zuculini amesema anajivunia kuwa mchezaji wa nne muargentina kuingia mkataba na city baada ya Sergio Aguero, Pablo Zabaleta na Martin Demichelis. Bruno huenda akakipiga katika mechi ya ngao ya hisani dhidi ya arsenal