ISRAEL IMEVURUMISHA MAKOMBORA ZAIDIMasaa 72 ya usitishwaji mapigano baina ya Israel na hamas yamekwisa ijumaa asubuhi wakati huo makombora yakirushwa kutoka gaza kuelekea miji ya Israeli.
Waisarael wawili wamejeruhiwa katika mji wa shaar hanegev
Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameagiza kikosi cha ulinzi cha Israel kujibu mashmbulio na kikosi hicho kuvurumisha makombora 12
Vyanzo vya misri vilivyojihusiha na usuluhishi baina ya pande mbili hizo kusitisha mapigano zimedai tofauti baina ya isreli na palestina zitabaki kuwa kubwa