KABISA MPANGO MZIMA


Kinywaji kipya cha nguvu kuingia Tanzania (KABISA ENERGY DRINK) Baada ya
kufanya vizuri katika soko la ukanda wa afrika kinywaji cha kabisa energy drink kimeendelea kutanua soko katika ukanda mzima wa soko la afrika mashariki baada ya Uganda, Kenya, Rwanda na nchi nyingine za afrika sasa kuwasili Tanzania, hivyo ladha hiyo mpya ya kabisa kinywaji chenye msisimko wa hali ya juu, chenye kuleta uchangamfu katika Hali zote na nguvu kwa watumiaji wa aina zote kimepokewa vyema na watumiaji waliokuwa wakiipata ladha hiyo pindi wanapokuwa nje ya Tanzania "hakika ni habari nzuri kwa sisi wenye kuifahamu kabisa energy drink ina ladha nzuri na inaleta uchangamfu sana hasa kwenye mambo yetu Yale aah acha kabisa" alinukuliwa mzungumzaji mmoja mfanyabiashara maarufu. Kinywaji hicho cha kabisa kinachosambazwa na mutalo Co. Ltd kitapatikana katika maduka yote ya vinywaji na mitaani baada tu ya kuzinduliwa rasmi katika soko la Tanzania alithibitisha hayo kiongozi mkuu wa mutalo group team/mutalo Co. Ltd bwana Tomasz Nowowiejski