MTANDAO MPYA NA UFANISI WA HALI YA JUUNeww #AMNalert MTANDAO MPYA NA UFANISI WA HALI YA JUU UMEKUJIA. BADO HAUJAJISAJILI? Mazuri katika www.africanmusicnow.com 1. Ni website ya maswala ya muziki. 2.Msanii yeyote anaweza kujisajili na kuweka taarifa zake (profile) uwe solo artist au crew 3.Unaweka nyimbo zako na video 4.Unaweza kuona waliosikiliza (stream) na kiasi kilichoingizwa kwa kusikiliza. 5.Unaweza kuweka au kutoa nyimbo au hata kujiondoa katika website endapo hautaridhishwa ikiwemo na kutoa kazi zako zote. 6.Walioko nje ya nchi wanaweza kununua au kusikiliza (stream) na wakalipia kwa pay pal na msanii ukaona (vitu vyote vipo wazi) 7.Ipo mpaka feature ya kalenda kwa msanii ambaye atakuwa na ratiba ya kazi zake. 8. Unaweza kuchukua fedha zako kwa urahisi kupitia simu yako kwa maelekezo rahisi tu ya namna ya kufanya (mitandao yote ya simu) 10. Kujisajili ni kwa kutumia facebook au googlemail. Ni rahisi mno. 11.Msanii unaweza kuweka na mashairi (lyrics) kwa nyimbo/wimbo wako. Nimegundua kuna mazuri zaidi kushinda website nyinginezo japo kila kitu ni hiari ya mtu. Pongezi kwa ukombozi huu kwa walishaji (wasanii) na walaji (wanunuzi) wa kazi za wasanii kwani kupitia website hii msanii unalindiwa kazi zako kutokana na muundo uliopo katika kuuza kazi zako. Nyongeza. Kazi (nyimbo) zote hazianzi na tangazo kama wengi wanavyodhani kwani msanii anapaswa kunufaika na tangazo endapo litawekwa na kwa utaratibu (mkataba) wenye kulinda na kuheshimu kazi ya sanaa. Pata muda tembelea www.africanmusicnow.com ujionee. #Africanmusicnow #Mkombozi