MISEMO HII IMEKERA WENGI 2016

KILA MWAKA HUJA NA MAMBO YAKE,VITUKO VYAKE, NA MISEMO YAKE HASA DUNIA HĮI YA UTANDAWAZI INA MENGI YASIOISHA KILA KUKICHA. PAMEKUWA NA KUNDI KUBWA LA WADAU WALIOCHUKIZWA NA BAADHI YA MISEMO
ILIYOKUWA IKITUMIKA SANA MWAKA  2016 HUKU WAKILAUMU  MISEMO ILIYOKUWA IKIWAKERA WENGI AMA HUCHUKIZWA PINDI LUGHA HIYO ITUMIKAPO, WAISIKIAPO AMA KUKEREKA PINDI WASIKIAPO NENO HILO HUPATWA NA DUKUDUKU LA MOYO KIASI CHA KUTAMANI KUMLWAPUA MTU MAKOFI. JE WEWE HUKERWA NA MSEMO UPI KATI YA HII
1.AMA NENE BADALA YA NINI
2.VEPEE BADALA YA VIPI
3.SITOWAANGUSHA
4.SAFARI YA MATUMAINI
5.CHURA
6.KITU FULANI AMAIZING
7.WAPI HIYO
8.SINGELI
9.POVU
10.HAPA KAZI TU
11.WATAISOMA NAMBA
12. JECHA
13.SIPENDI UJINGA KABISA