Rais Magufuli amfagilia IGP ManguJumamosi iliyopita, IGP Mangu aliwasimamisha askari waliotajwa kwenye


orodha aliyoitaja Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda wakati

akizungumza na wanahabari hivi karibuni juu ya biashara hiyo.

 

*Dar es Salaam.* Rais John Magufuli amempongeza Mkuu wa Jeshi la Polisi

(IGP), Ernest Mangu kwa kuwasimamisha kazi askari 12 ili kupisha

uchunguzi kwa tuhuma za kujihusisha na biashara za dawa za kulevya.Jumamosi iliyopita, IGP Mangu aliwasimamisha askari waliotajwa kwenye

orodha aliyoitaja Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda wakati

akizungumza na wanahabari hivi karibuni juu ya biashara hiyo.Rais Magufuli ametoa pongezi hizo leo Ikulu jijini hapa wakati wa

sherehe za kumuapisha Mkuu mpya wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance

Mabeyo.Amesema hatua aliyochukua IGP Mangu inaleta taswira nzuri kwa Jeshi la

Polisi katika vita dhidi ya dawa za kulevya.
Na: Emmanuel Mtengwa,