MBUNGE WA CHALINZE AHIMIZA MAENDELEO

Mbunge wa Chalinze anaendelea kuhimiza maendeleo na Siku ya Tarehe 12 August 2017 .Safari hii ilikuwa ni Zamu ya Sekta ya Elimu.
Balozi wa Pakistan akiongoza wanajumuiya ya Wapakistan wanaishi na kufanya Biashara Nchini Tanzania wamekabishi kwa Mbunge wa Chalinze mh: Ridhiwan Kikwete Shule ya Msingi ya Utete ambayo wananchi wamekubali kuipa jina la Pakistan Mtete katika kuenzi juhudi kubwa zinazofanywa na wananchi hao wa Pakistan wanaoishi Tanzania.