cardi atangaza album yake ya uvamizi wa faragha (invasion of privacy)wiki mbili kabla ya kutolewa, Cardi B ametangaza jina la album yake na ameonyesha cover ya albamu yake ya kwanza inayotarajiwa,ya "invasion of privacy" yaani uvamizi wa faragha. rapper Bronx alipeleka katika vyombo vya habari vya kijamii ili kuonesha michoro ya cover ya album, ambayo inaonesha akiwa amevalia wig la njano, miwani ya jua, na nguo nyeusi na nyeupe huku akiwa ameng'ata meno yake. "Albamu yangu 'INVASION OF PRIVACY' itaachiwa Aprili 6!" Aliandika katika tweeter yake. "Shukrani kwa upendo
Wakati wa IHeartRadio Music Awards mapema mwezi huu, Cardi alitangaza tarehe ya kutolewa tarehe 6 Aprili kwa mradi huo, lakini jina aliweka chini ya carpet album ya invasion of privacy tayari imetoa hits mbili, ikiwa ni pamoja na iliyosumbua katika chart "Bodak Yellow (Money Moves)" na "Bartier Cardi."
Albamu itaonyesha pande nyingi za maisha ya nyota huyo wa "love & Hip Hop", aliyezaliwa Belcalis Almanzar. alisema "Siwezi kuzungumza juu ya mambo fulani ambayo ni ya maisha niliyopitia kwa sababu nitakwenda jela," aliiambia Beats 1. "Sitaki watu kufikiri kwamba mimi ni mwenda wazimu. Watu wengi huniuliza maswali kama ni nini kingine naweza kufanya? hivyo nitawaonesha. " Cardi anasemwa kuwa mjamzito, lakini hilo halitomzuia kufanya kazi. na amepangwa kuperfom kwenye show ya "SNL" siku moja baada ya kutolewa kwa albamu yake tarehe 7 Aprili na baadaye mwezi huu. Pia atamsaidia Bruno Mars kwenye "Tour ya Dunia ya 24Kmagic" mnamo Septemba